Thursday, July 19, 2012

JINSI MAMBO YALIVYOENDA MARA BAADA YA KUAIRISHWA KWA TUZO KWA BLOGAZ HAPO JANA SERENA HOTELKWA SABABU YA AJALI YA MELI-ZANZIBAR...!!!



Baadhi ya wadau waliofika kuudhurisha hafla hiyo kutoka kushoto Bw. Matina Nkurlu, Sadik wa Aimgroup, Obed wa Ginadin, Mkuu wa kitengo cha Mahusiano wa Vodacom Joseline Kamuhanda, Angela wa Ginadin, Alpha Marwa wa Aimgroup Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Aimgroup Nadim Juma(katikati)akisalimiana na Mwaandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi Mr.Matandiko,wengine ni Mwendeshaji Mkuu wa Global Publishers Mr.Mrisho,na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Aimgroup Hafiz Juma.

Dr.Joe Kiluvia akimsisitiza jambo Uncle Michuzi pamoja na Haki Ngowi ambae ndiye mmiliki wa haki ngowi blog.
Mtaalam wa tovuti ya ZoomTanzania Kirk Gillis kushoto akifafanuliwa jambo jinsi ya matumizi rahisi na ya haraka zaidi ya kutuma habari kupitia Samsung Galaxy na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu.
Kutoka kushoto Zablon Odhiambo wa Kampuni ya Mahusiano ya Ginadin na Boss wake Mr. Mehboob na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...