Tuesday, January 10, 2012

RAIS KIKWETE APOKEA HATI KUTOKA KWA MABALOZI



Rais Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Burundi Mh. Issa Ntambuka Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete akipokea hati kutoka kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya Mh. Filberto Ceriani.
Rais Kikwete akiagana na Balozi wa Uturuki Mh. Ali Davutoglu muda mfupi baada ya makabidhiano ya hati hizo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...