Saturday, January 21, 2012

HAPPY BIRTHDAY MATEJA

SIKU ya leo imeenda vyema  kwa mmoja wa mapaparazi wa Magazeti ya Uwazi, Risasi, Championi, Amani, Ijumaa na Ijumaa Wikienda na ndiye mmiliki wa mtandao huu, Musa Mateja ambaye amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya mjengo wa ofisi ya magazeti hayo na kupata fursa ya kuwalisha keki baadhi ya wafanyakazi wenzake.

Mateja ametimiza umri wa miaka kadhaa na anamshukuru Mungu kwa kumfikisha siku ya leo na amezidi kumuomba amlinde daima.



Muandaaji wa magazeti hayo Sebastian akilishwa kipande cha keki.





Mpiga picha Mkuu wa magazeti hayo, Richard Bukos akilishwa keki



Musa Mateja (kulia), akimlisha keki Meneja Mkuu wa kampuni hiyo, Abdallah Mrisho.





Meneja Mkuu wa Global Publishers LTD, Abdallah Mrisho akimlisha keki mchapakazi wake Musa Mateja.




: Moja ya shampeini iliyokuwa imeandaliwa kwenye sherehe hiyo.






: Keki ya ishu hiyo ikiwa katika meza.





Mateja akikata keki na baadhi ya wafanyakazi wenzake.





Shakoor Jongo ‘Zung Fedha’ (kushoto), akilishwa keki hiyo.



Mrs. Maloto (kushoto), akilishwa keki.





Mhariri wa gazeti la Ijumaa Amrani Kaima akilishwa keki.



Msanifu kurasa wa magazeti hayo, Edina Titus akilambishwa keki.





Msanifu kurasa wa Championi, Abby akimlisha keki kaka yake.





Mzee Mbizo naye alionja radha ya keki hiyo.



Shamim yeye hakutaka hata kusikia  Swagger za kizungu akaamua kujichukulia mwenyewe kipande cha keki.



Mhariri wa gazeti la Ijumaa Wikienda, Paul Sifael akionja radha kamili



Mhariri msaidizi wa magazeti ya Risasi Jumamosi na Amani, George Kayala akifurahia na Mateja.



Msanifu kurasa wa magazeti Pendwa Bahati naye alijionjea kitu cha keki.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...