Tuesday, January 10, 2012

KONGAMANO LA VIJANA KANISA LA K.K.K.T
GLORIOUS CELEBRATION WALIWASHA MOTO KWA UIMBAJI

Kongamano hili lilifanyika kibaha katika Shule ya Sekondari Filbert Bay mwezi December 2011. Kongamano hili lilipambwa na Kikundi cha waimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Glorious Celebration. Watu walibarikiwa sana na uimbaji, masomo mbalimbali na michezo.


Kongamano hili lilifanyika kwa muda wa wiki moja, na vijana walikuwa wakiishi kambini kwa muda wote.

Glorious Celebration walionekana kupendwa sana na vijana wa KKKT na wachungaji wao. Mungu alionekana mahali pale


Kutoka kulia na Davina, Nice, Chaka, Lisper, Mercy 

 Mwimbaji wa Glorious Celebration, Dany Kibambe akimwimbia Mungu wetu
 Waimbaji wa Glorious Celebration

 Vijana kutoka makanisa ya KKKT Tanzania

 Mkurugenzi wa RUMA, Rulea Sanaga na ni Meneja Masoko wa Glorious Celebration  (aliyevaa penzi)  akiwa mapumzikoni
 Wapigaji magitaa wa Glorious Celebration, Imma Solo (kulia) na Imma Base (kushoto)

 Baadhi ya waimbaji wa Glorious Celebration wakiwa katika mapumziko




 Mwimbaji, mpiga kinanda na mpigaji wa drums, Danny Kibambee akiwa katika uwajibikaji
 Imma Base kushoto na Ombeni Godwin OG kulia


 Mwnyekiti wa Vijana KKKT


 Mr Tweve akipiga picha waimbaji





No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...