Wednesday, January 18, 2012


 
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi wa Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia) wakisaini hati ya msaada makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) uliotolewa na Japan na utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB) .

 
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini makubaliano ya msaada wa kusaidia sekta ya kilimo na Kaimu Mwakilishi wa Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon mara baada ya kusaini makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) Japan na utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB).

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...