Saturday, January 14, 2012


HOYCE TEMU APATA  STASHAHADA YA UCHUMI

 
Hoyce Temu akiwa na muhitimu mwenzake.

 
Miss Tanzania namba 3 Cesilia Asseyi akitunikiwa cheti,

 
……akitoka kutunikiwa cheti

 
...Hoyce akitunikiwa cheti.



...akitoka kupokea cheti chake



....akiwa na mtoto wake kipenzi, Rubby

Miss Tanzania 1998 Hoyce Temu, ambaye kwa hivi sasa anamiliki kipindi cha Mimi na Tanzania kinachorushwa kupitia runinga ya Channel Ten jana alipokea Stashahada ya Uzamili na Uchumi katika Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam. Mrembo mwingine ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania namba 3 ,2003 aliyetunukiwa cheti katika chuo hicho ni Cesilia Assey.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...