Monday, January 9, 2012

CHEGE, TEMBA WALIVYO KAMUA 
DAR LIVE

Na Musa Mateja

WASANII wanaounda kundi la TMK Family usiku wa kuamkia leo walifanya makamzi ya kufa mtu katika tamasha la Family Day Bonanza lilifanyika ndani ya Ukumbi wa Dar Live Bangala jijini Dar es Salaam.

Katika Bonanza hilo pia lilitumbuizwa na Bendi ya Extra Bongo “Next Level’, East Afrika Merodi Taarab, kundi la JNY na kundi la Mkubwa na wanaye ambapo meneja wa kundi la Wanaume Family Saidi Fella alimtambulisha Mwalami Hamisi ‘Dogo Mo‘ kutoka katika kempu yake ya mkubwa na wanaye ambaye alionyesha uwezo wa kuimba na kukata nyonga zaidi ya Aslay Isihaka ‘Dogo Asley’. 

Wasanii wa kundi la Wanaume Family Chege na Temba wakifanya makamzi jukwaani hapo.

Chege akiwajibika kwa sataili yake.

Temba, akijinafasi na mrembo.

Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo ‘Next Level’ Otilia Boniface akiwajibika kwenye Bonanza hilo.

Mnenguaji wa Etra Bongo, Mwantum Juma akimkatikia shabiki wake.

Kiongozi wa wanenguaji wa Extra Bongo, Hassani Mussa ‘Super Nyamwela’ akiselebuka na mashabiki zake.

Super Nyamwelela (kushoto), akiwajibika na mnenguaji mwenzak.

Baadhi ya mashabiki wa kijinafasi na kundi la East Afrika Merodi Taarab.



Mambo yalikuwa namna hii kwa mashabiki hao.

Mtu mzima akiwajibika na mrembo…

Mambo ya Pwani hayo.

Muimbaji wa kundi la East Afrika Merodi’ Mwanhawa Ally, akitumbuiza jukwaani hapo.

Muimbaji wa kundi la East Afrika Merodi’ Mwanhawa Ally, akitumbuiza jukwaani hapo.

Dogo Aslay akionyesha uwezo wake jukwaani.

Aslay akiwa amemubeba Dogo Mo mara baada ya kumaliza kuimba.

Mashabiki wakifuatilia baadhi ya burudani zilizokuwa zikitolewa Ukumbini hapo.

Baadhi ya watoto waliohudhulia kwenye Bonanza hilo wakiongelea.

Mashabiki wakifuatilia baadhi ya burudani zilizokuwa zikitolewa Ukumbini hapo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...